KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa
zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya maiti
kuwekwa....!! Ni balaaaaa..... RIP IVAN DON ila ingekuwa hapa bongo
ingebidi hilo kaburi lilindwe hata miezi mitatu mpaka hizo pesa
ziharibike kwa joto maana la sivyo watu
wangemfukuaje!..yaani asubuhi mwili ungekutwa pembeni..pesa ilivyongumu jamani
wangemfukuaje!..yaani asubuhi mwili ungekutwa pembeni..pesa ilivyongumu jamani




















About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment